Skip to content
يُونس /

Aya 89

10 : 89
يُونس Aya 109
Sura · يُونس
Kiswahili · Barawani
10 : 89

قَالَ قَدۡ أُجِيبَت دَّعۡوَتُكُمَا فَٱسۡتَقِيمَا وَلَا تَتَّبِعَآنِّ سَبِيلَ ٱلَّذِينَ لَا يَعۡلَمُونَ

Mwenyezi Mungu akasema: Maombi yenu yamekubaliwa. Basi simameni sawa sawa, wala msifuate njia za wale wasio jua.

Explanation & meanings · 1
  1. Mwenyezi Mungu akasema: Dua zenu zimeitikiwa. Basi endeleeni katika Njia Iliyo Nyooka, na iwacheni njia ya wale wasio jua mambo yalivyo, wala hawaifuati Haki iliyo wazi.