Skip to content
يُونس /

Aya 56

10 : 56

Aya 56 of يُونس (10 : 56). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

يُونس Aya 109
Sura · يُونس
Kiswahili · Barawani
10 : 56

هُوَ يُحۡيِۦ وَيُمِيتُ وَإِلَيۡهِ تُرۡجَعُونَ

Yeye ndiye anaye fufua na anaye fisha. Na kwake mtarejeshwa

Explanation & meanings · 1
  1. Na Mwenyezi Mungu Subhanahu anavihuisha vitu baada ya kuwa havipo, na anaviondoa baada ya kuwapo. Na kwake Yeye tu ndio marejeo katika Akhera. Na mwenye kuwa hivyo hapana kuu la kumshinda.