98 : 3
فِيهَا كُتُبٞ قَيِّمَةٞ
Ndani yake mna maandiko yaliyo nyooka.
Explanation & meanings · 1
- Ndani yake zimo hukumu zilizo sawa zenye kutamka kwa haki na kwa yaliyo ndiyo.
Aya 3 of البَينَة (98 : 3). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
فِيهَا كُتُبٞ قَيِّمَةٞ
Ndani yake mna maandiko yaliyo nyooka.