Skip to content
الشَّمس /

Aya 6

91 : 6

Aya 6 of الشَّمس (91 : 6). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الشَّمس Aya 15
Sura · الشَّمس
Kiswahili · Barawani
91 : 6

وَٱلۡأَرۡضِ وَمَا طَحَىٰهَا

Na kwa ardhi na kwa aliye itandaza!

Explanation & meanings · 1
  1. Na kwa ardhi na kwa Mweza Mtukufu aliye ikunjua kwa kila upande, na akaitengeneza kwa ajili ya utulivu, na akaifanya kama tandiko.