Skip to content
البَلَد /

Aya 4

90 : 4
البَلَد Aya 20
Sura · البَلَد
Kiswahili · Barawani
90 : 4

لَقَدۡ خَلَقۡنَا ٱلۡإِنسَٰنَ فِي كَبَدٍ

Hakika tumemuumba mtu katika taabu.

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika Sisi tumemuumba mtu katika mashaka na taabu tangu mwanzo wake mpaka kumalizika mambo yake.