Skip to content
البُرُوج /

Aya 17

85 : 17
البُرُوج Aya 22
Sura · البُرُوج
Kiswahili · Barawani
85 : 17

هَلۡ أَتَىٰكَ حَدِيثُ ٱلۡجُنُودِ

Je! Zimekuwasilia khabari za majeshi?

Explanation & meanings · 1
  1. Je! Imekujia, ewe Muhammad, hadithi ya kile kikundi kilicho a'si katika mataifa yaliyo kwisha pita?