Skip to content
البُرُوج /

Aya 14

85 : 14
البُرُوج Aya 22
Sura · البُرُوج
Kiswahili · Barawani
85 : 14

وَهُوَ ٱلۡغَفُورُ ٱلۡوَدُودُ

Naye ni Mwenye kusamehe, Mwenye mapenzi,

Explanation & meanings · 1
  1. Na Yeye ni Mwingi wa msamaha kwa mwenye kutubu na akarejea, na Mwingi wa mapenzi kwa mwenye kumpenda na akamt'ii.