84 : 3 وَإِذَا ٱلۡأَرۡضُ مُدَّتۡ Na ardhi itakapo tanuliwa! 3Hide explanation (1)Explanation & meanings · 13Na ardhi ikazidi upana wake kwa kulazwa milima na kuondolewa kifusi chake,