Skip to content
الانشِقَاق /

Aya 23

84 : 23
الانشِقَاق Aya 25
Sura · الانشِقَاق
Kiswahili · Barawani
84 : 23

وَٱللَّهُ أَعۡلَمُ بِمَا يُوعُونَ

Na Mwenyezi Mungu anajua wanayo yadhamiria.

Explanation & meanings · 1
  1. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua kabisa hayo wanayo yadhamiria katika nyoyo zao.