Skip to content
المُطَففين /

Aya 10

83 : 10

Aya 10 of المُطَففين (83 : 10). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المُطَففين Aya 36
Sura · المُطَففين
Kiswahili · Barawani
83 : 10

وَيۡلٞ يَوۡمَئِذٖ لِّلۡمُكَذِّبِينَ

Ole wao siku hiyo kwa wanao kadhibisha!

Explanation & meanings · 1
  1. Wataangamia wanao kadhibisha siku itapo kuwa kufufuliwa na kuhisabiwa.