Skip to content
الأنفَال /

Aya 21

8 : 21

Aya 21 of الأنفَال (8 : 21). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الأنفَال Aya 75
Sura · الأنفَال
Kiswahili · Barawani
8 : 21

وَلَا تَكُونُواْ كَٱلَّذِينَ قَالُواْ سَمِعۡنَا وَهُمۡ لَا يَسۡمَعُونَ

Wala msiwe kama wale wanao sema: Tumesikia, na kumbe hawasikii.

Explanation & meanings · 1
  1. Wala msiwe kama wanaafiki wanao sema: Tumeisikia Haki na tumefahamu. Lakini hawaifuati wala hawaiamini. Basi wamekuwa kama wasio sikia.