Skip to content
المُرسَلات /

Aya 31

77 : 31
المُرسَلات Aya 50
Sura · المُرسَلات
Kiswahili · Barawani
77 : 31

لَّا ظَلِيلٖ وَلَا يُغۡنِي مِنَ ٱللَّهَبِ

Hakikingi moto, wala hakiwaepushi na mwako.

Explanation & meanings · 1
  1. Hapana cha kujikinga na joto la siku hiyo, wala kivuli hicho hakipunguzi joto la mwako hata kidogo.