Skip to content
الإنسَان /

Aya 23

76 : 23
الإنسَان Aya 31
Sura · الإنسَان
Kiswahili · Barawani
76 : 23

إِنَّا نَحۡنُ نَزَّلۡنَا عَلَيۡكَ ٱلۡقُرۡءَانَ تَنزِيلٗا

Hakika Sisi tumekuteremshia Qur'ani kidogo kidogo.

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika Sisi, kwa rehema yetu na hikima yetu, tumekuteremshia wewe Qur'ani kwa njia ya kukutuza moyo wako, na uweze daima kuihifadhi, basi huto isahau kabisa.