Skip to content
المَعَارج /

Aya 38

70 : 38

Aya 38 of المَعَارج (70 : 38). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المَعَارج Aya 44
Sura · المَعَارج
Kiswahili · Barawani
70 : 38

أَيَطۡمَعُ كُلُّ ٱمۡرِيٕٖ مِّنۡهُمۡ أَن يُدۡخَلَ جَنَّةَ نَعِيمٖ

Kwani kila mmoja wao anatumai kuingizwa katika Pepo ya neema?

Explanation & meanings · 1
  1. Je, kwani kila mmoja wao ana tamaa ya kuingia kwenye Pepo yenye neema, baada ya kusikia kuwa Mwenyezi Mungu amemuahidi Mtume wake na Waumini kuwatia Peponi?