Skip to content
Al-Ma'arij /

Aya 29

70 : 29

Aya 29 of Al-Ma'arij (70 : 29). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

Al-Ma'arij Aya 44
Sura · Al-Ma'arij
Kiswahili · Barawani
70 : 29

وَٱلَّذِينَ هُمۡ لِفُرُوجِهِمۡ حَٰفِظُونَ

Na ambao wanahifadhi tupu zao.

Explanation & meanings · 1
  1. Na ambao wanazihifadhi tupu zao hata hawaemewi na matamanio yao.