69 : 5
فَأَمَّا ثَمُودُ فَأُهۡلِكُواْ بِٱلطَّاغِيَةِ
Basi Thamudi waliangamizwa kwa balaa kubwa mno.
Explanation & meanings · 1
- Ama Thamudi basi walihilikiwa kwa tukio lilio pindukia mipaka yote kwa ukali wake.
Aya 5 of الحَاقة (69 : 5). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
فَأَمَّا ثَمُودُ فَأُهۡلِكُواْ بِٱلطَّاغِيَةِ
Basi Thamudi waliangamizwa kwa balaa kubwa mno.