Skip to content
القَلَم /

Aya 22

68 : 22
القَلَم Aya 52
Sura · القَلَم
Kiswahili · Barawani
68 : 22

أَنِ ٱغۡدُواْ عَلَىٰ حَرۡثِكُمۡ إِن كُنتُمۡ صَٰرِمِينَ

Ya kwamba nendeni kondeni mwenu ikiwa mnataka kuvuna.

Explanation & meanings · 1
  1. Amkeni mapema mwende kondeni kwenu kama mmeazimia kuvuna.