Skip to content
القَلَم /

Aya 19

68 : 19
القَلَم Aya 52
Sura · القَلَم
Kiswahili · Barawani
68 : 19

فَطَافَ عَلَيۡهَا طَآئِفٞ مِّن رَّبِّكَ وَهُمۡ نَآئِمُونَ

Basi lilitokea tukio juu yake kutoka kwa Mola wako Mlezi, nao wamelala!

Explanation & meanings · 1
  1. Basi ikaliteremkia shamba hilo balaa kubwa ilio toka kwa Mola wako Mlezi, na hali wao wamelala.