67 : 7
إِذَآ أُلۡقُواْ فِيهَا سَمِعُواْ لَهَا شَهِيقٗا وَهِيَ تَفُورُ
Watakapo tupwa humo watausikia mngurumo wake na huku inafoka.
Explanation & meanings · 1
- Wakitiwa humo watasikia sauti mbaya ya kuchusha, na huo moto unatokota kwa ukali,