Skip to content
المُلك /

Aya 25

67 : 25

Aya 25 of المُلك (67 : 25). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المُلك Aya 30
Sura · المُلك
Kiswahili · Barawani
67 : 25

وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا ٱلۡوَعۡدُ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ

Na wanasema: Lini ahadi hii, ikiwa mnasema kweli?

Explanation & meanings · 1
  1. Na wanasema wanao kanya kufufuliwa: Yatatokea lini haya ya kukusanywa watu? Twambieni yatakuwa lini, kama nyinyi mnasema kweli!