Skip to content
المُلك /

Aya 11

67 : 11
المُلك Aya 30
Sura · المُلك
Kiswahili · Barawani
67 : 11

فَٱعۡتَرَفُواْ بِذَنۢبِهِمۡ فَسُحۡقٗا لِّأَصۡحَٰبِ ٱلسَّعِيرِ

Wakakiri dhambi zao. Basi kuangamia ni kwa watu wa Motoni!

Explanation & meanings · 1
  1. Basi wataungama kukadhibisha kwao na kukufuru kwao. Watu wa Motoni wamepotelea mbali na rehema ya Mwenyezi Mungu!