Skip to content
الأنعَام /

Aya 67

6 : 67
الأنعَام Aya 165
Sura · الأنعَام
Kiswahili · Barawani
6 : 67

لِّكُلِّ نَبَإٖ مُّسۡتَقَرّٞۚ وَسَوۡفَ تَعۡلَمُونَ

Kila khabari ina kipindi chake. Nanyi mtakuja jua.

Explanation & meanings · 1
  1. Kila khabari iliyo letwa na Qur'ani ina wakati wake wa kutimia. Nanyi mtakuja jua ukweli wa khabari hizi zitapo tokea.