Skip to content
الأنعَام /

Aya 43

6 : 43

Aya 43 of الأنعَام (6 : 43). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الأنعَام Aya 165
Sura · الأنعَام
Kiswahili · Barawani
6 : 43

فَلَوۡلَآ إِذۡ جَآءَهُم بَأۡسُنَا تَضَرَّعُواْ وَلَٰكِن قَسَتۡ قُلُوبُهُمۡ وَزَيَّنَ لَهُمُ ٱلشَّيۡطَٰنُ مَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ

Kwa nini wasinyenyekee ilipo wafika adhabu yetu? Lakini nyoyo zao zilikuwa ngumu, na Shet'ani akawapambia waliyo kuwa wakiyafanya.

Explanation & meanings · 1
  1. Na lililo takikana ni kuwa warejee kwa Mola wao Mlezi. Lakini hawakufanya hayo. Bali zikaendelea nyoyo zao katika ugumu wao, na Shetani akawapambia vile vitendo vyao vibaya, (wakaviona vizuri).