56 : 7 وَكُنتُمۡ أَزۡوَٰجٗا ثَلَٰثَةٗ Na nyinyi mtakuwa namna tatu: . 7Hide explanation (1)Explanation & meanings · 17Na mkawa nyote siku hiyo namna tatu kwa mujibu wa vitendo vyenu;