Skip to content
الوَاقِعة /

Aya 65

56 : 65
الوَاقِعة Aya 96
Sura · الوَاقِعة
Kiswahili · Barawani
56 : 65

لَوۡ نَشَآءُ لَجَعَلۡنَٰهُ حُطَٰمٗا فَظَلۡتُمۡ تَفَكَّهُونَ

Tungeli taka tungeli yafanya yakawa mapepe, mkabaki mnastaajabu,

Explanation & meanings · 1
  1. Tungeli taka tungeli ifanya mimea hiyo iwe mabua na mapepe yaliyo katika katika kabla haijapevuka, mkawa mkistaajabu tu kwa uovu ulio isibu,