56 : 19
لَّا يُصَدَّعُونَ عَنۡهَا وَلَا يُنزِفُونَ
Hawataumwa kichwa kwa vinywaji hivyo wala hawatoleweshwa.
Explanation & meanings · 1
- Vinywaji hivyo haviwaletei kuumwa kichwa wala kutokwa akili kwa ulevi.