Skip to content
القَمَر /

Aya 26

54 : 26
القَمَر Aya 55
Sura · القَمَر
Kiswahili · Barawani
54 : 26

سَيَعۡلَمُونَ غَدٗا مَّنِ ٱلۡكَذَّابُ ٱلۡأَشِرُ

Kesho watajua ni nani huyo mwongo mwenye kiburi.

Explanation & meanings · 1
  1. Karibu watakuja jua siku itapo wateremkia adhabu ni nani mwongo anaye ikanya neema. Wao au Saleh, Mtume wao?