Skip to content
القَمَر /

Aya 20

54 : 20
القَمَر Aya 55
Sura · القَمَر
Kiswahili · Barawani
54 : 20

تَنزِعُ ٱلنَّاسَ كَأَنَّهُمۡ أَعۡجَازُ نَخۡلٖ مُّنقَعِرٖ

Ukiwang'oa watu kama vigogo vya mitende vilio ng'olewa.

Explanation & meanings · 1
  1. Ukiwang'oa watu na kuwatupa nao wamekufa, kama vinavyo ng'olewa vigogo vya mitende na mizizi yake.