52 : 10
وَتَسِيرُ ٱلۡجِبَالُ سَيۡرٗا
Na milima iwe inakwenda kwa mwendo mkubwa.
Explanation & meanings · 1
- Na milima itapo ng'oka kutoka hapo ilipo kwa kuonekana khasa.
وَتَسِيرُ ٱلۡجِبَالُ سَيۡرٗا
Na milima iwe inakwenda kwa mwendo mkubwa.