Skip to content
Qaf /

Aya 10

50 : 10

Aya 10 of Qaf (50 : 10). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

Qaf Aya 45
Sura · Qaf
Kiswahili · Barawani
50 : 10

وَٱلنَّخۡلَ بَاسِقَٰتٖ لَّهَا طَلۡعٞ نَّضِيدٞ

Na mitende mirefu yenye makole yaliyo zaa kwa wingi,

Explanation & meanings · 1
  1. Na mitende mirefu mirefu, yenye makole ya tende yaliyo pandana kwa wingi.