Skip to content
مُحمد /

Aya 8

47 : 8
مُحمد Aya 38
Sura · مُحمد
Kiswahili · Barawani
47 : 8

وَٱلَّذِينَ كَفَرُواْ فَتَعۡسٗا لَّهُمۡ وَأَضَلَّ أَعۡمَٰلَهُمۡ

Na walio kufuru, basi kwao ni maangamizo, na atavipoteza vitendo vyao.

Explanation & meanings · 1
  1. Na walio kufuru Mwenyezi Mungu atawatia mashakani, na atawapotoa vitendo vyao.