Skip to content
الأحقَاف /

Aya 2

46 : 2
الأحقَاف Aya 35
Sura · الأحقَاف
Kiswahili · Barawani
46 : 2

تَنزِيلُ ٱلۡكِتَٰبِ مِنَ ٱللَّهِ ٱلۡعَزِيزِ ٱلۡحَكِيمِ

Uteremsho wa Kitabu umetoka kwa Mwenyezi Mungu, Mwenye nguvu, Mwenye hikima.

Explanation & meanings · 1
  1. Hii Qur'ani imeteremka kutokana na Mwenyezi Mungu Mwenye kushinda kila kitu, Mwenye hikima katika ayatendayo.