Skip to content
الأحقَاف /

Aya 18

46 : 18

Aya 18 of الأحقَاف (46 : 18). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الأحقَاف Aya 35
Sura · الأحقَاف
Kiswahili · Barawani
46 : 18

أُوْلَٰٓئِكَ ٱلَّذِينَ حَقَّ عَلَيۡهِمُ ٱلۡقَوۡلُ فِيٓ أُمَمٖ قَدۡ خَلَتۡ مِن قَبۡلِهِم مِّنَ ٱلۡجِنِّ وَٱلۡإِنسِۖ إِنَّهُمۡ كَانُواْ خَٰسِرِينَ

Hao ndio ambao imehakikikishwa hukumu juu yao kama mataifa yaliyo kwisha pita kabla yao miongoni mwa majini na watu. Hakika hao wamekuwa wenye kukhasiri.

Explanation & meanings · 1
  1. Hao wasemao hayo ndio iliyo wathibitikia kuwashukia adhabu sawa sawa na mataifa yaliyo kuwa kabla yao miongoni mwa majini na watu, kwa sababu hakika hao walikuwa ni wenye kukhasiri.