Skip to content
الأحقَاف /

Aya 16

46 : 16
الأحقَاف Aya 35
Sura · الأحقَاف
Kiswahili · Barawani
46 : 16

أُوْلَٰٓئِكَ ٱلَّذِينَ نَتَقَبَّلُ عَنۡهُمۡ أَحۡسَنَ مَا عَمِلُواْ وَنَتَجَاوَزُ عَن سَيِّـَٔاتِهِمۡ فِيٓ أَصۡحَٰبِ ٱلۡجَنَّةِۖ وَعۡدَ ٱلصِّدۡقِ ٱلَّذِي كَانُواْ يُوعَدُونَ

Hao ndio tunao wapokelea bora ya vitendo vyao walivyo vitenda, na tunayasamehe makosa yao. Watakuwa miongoni mwa watu wa Peponi. Miadi ya kweli hiyo walio ahidiwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Hao walio sifika kwa sifa hizo ndio tutakao wapokelea a'mali zao njema, na tutawasamehe maovu yao miongoni mwa watu wa Peponi. Itawathibitikia miadi ya kweli walio kuwa wakiahidiwa duniani.