Skip to content
الدُّخان /

Aya 49

44 : 49
الدُّخان Aya 59
Sura · الدُّخان
Kiswahili · Barawani
44 : 49

ذُقۡ إِنَّكَ أَنتَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلۡكَرِيمُ

Onja! Ati wewe ndiye mwenye nguvu, mtukufu!

Explanation & meanings · 1
  1. Ataambiwa kwa kejeli na maskhara: Onja hii adhabu kali, kwani ati wewe si ndiye mtukufu mwenye nguvu katika kaumu yako, ndiye mheshimiwa unavyo jiona mwenyewe!