43 : 7
وَمَا يَأۡتِيهِم مِّن نَّبِيٍّ إِلَّا كَانُواْ بِهِۦ يَسۡتَهۡزِءُونَ
Na hawajii Nabii yeyote ila walikuwa wakimkejeli.
Explanation & meanings · 1
- Wala hawajii Mtume yeyote kuwakumbusha Haki ila huendelea na kumfanyia maskhara.