Skip to content
الزُّخرُف /

Aya 23

43 : 23

Aya 23 of الزُّخرُف (43 : 23). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الزُّخرُف Aya 89
Sura · الزُّخرُف
Kiswahili · Barawani
43 : 23

وَكَذَٰلِكَ مَآ أَرۡسَلۡنَا مِن قَبۡلِكَ فِي قَرۡيَةٖ مِّن نَّذِيرٍ إِلَّا قَالَ مُتۡرَفُوهَآ إِنَّا وَجَدۡنَآ ءَابَآءَنَا عَلَىٰٓ أُمَّةٖ وَإِنَّا عَلَىٰٓ ءَاثَٰرِهِم مُّقۡتَدُونَ

Na kadhaalika hatukumtuma mwonyaji kwenye mji wowote ila watu wake walio deka kwa starehe walisema: Hakika sisi tuliwakuta baba zetu wanashika dini makhsusi, na sisi tunafuata nyayo zao.

Explanation & meanings · 1
  1. Mfano wa hali ya watu hawa ni mfano wa mataifa yaliyo tangulia. Hatukumtuma Mtume yeyote kwenye mji kabla yako ila walisema wale wenye kuneemeka katika huo mji, nao ndio walio takabari kwa hizo neema: Hakika sisi tumewakuta baba zetu wakifuata dini hii, basi ndio sisi tunakwenda mwendo wao. Basi kufuata kijinga ni upotovu wa tangu kale.