Skip to content
النِّسَاء /

Aya 96

4 : 96

Aya 96 of النِّسَاء (4 : 96). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النِّسَاء Aya 176
Sura · النِّسَاء
Kiswahili · Barawani
4 : 96

دَرَجَٰتٖ مِّنۡهُ وَمَغۡفِرَةٗ وَرَحۡمَةٗۚ وَكَانَ ٱللَّهُ غَفُورٗا رَّحِيمًا

Ni vyeo hivyo vinavyo toka kwake, na maghfira na rehema. Na Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira na Mwenye kurehemu.

Explanation & meanings · 1
  1. Na cheo hichi walicho khusishwa nacho hao wanao pigana Jihadi ni cheo kikubwa, cha juu, hata imekuwa ni kama cheo cha kutafautisha sana baina yao na wengineo. Na kwa ajili ya cheo hichi watapata maghfira makubwa na rehema kunjufu.