Skip to content
النِّسَاء /

Aya 61

4 : 61

Aya 61 of النِّسَاء (4 : 61). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النِّسَاء Aya 176
Sura · النِّسَاء
Kiswahili · Barawani
4 : 61

وَإِذَا قِيلَ لَهُمۡ تَعَالَوۡاْ إِلَىٰ مَآ أَنزَلَ ٱللَّهُ وَإِلَى ٱلرَّسُولِ رَأَيۡتَ ٱلۡمُنَٰفِقِينَ يَصُدُّونَ عَنكَ صُدُودٗا

Na wanapo ambiwa: Njooni kwenye yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, na njooni kwa Mtume; utawaona wanaafiki wanakukwepa kwa upinzani.

Explanation & meanings · 1
  1. Na wakiambiwa: Njooni kwenye Qur'ani na Sharia aliyo iteremsha Mwenyezi Mungu, na njooni kwa Mtume wake akubainishieni, utaona hao wanaafiki wanajitenga nawe kabisa wanakukataa.