Skip to content
النِّسَاء /

Aya 168

4 : 168

Aya 168 of النِّسَاء (4 : 168). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النِّسَاء Aya 176
Sura · النِّسَاء
Kiswahili · Barawani
4 : 168

إِنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ وَظَلَمُواْ لَمۡ يَكُنِ ٱللَّهُ لِيَغۡفِرَ لَهُمۡ وَلَا لِيَهۡدِيَهُمۡ طَرِيقًا

Hakika wale walio kufuru na wakadhulumu hawi Mwenyezi Mungu kuwasamehe wala kuwaongoa njia.

Explanation & meanings · 1
  1. Wale walio kufuru, na wakajidhulumu nafsi zao, na wakamdhulumu Mtume kwa kuupinga ujumbe wake, na wakawadhulumu watu walipo wafichia Haki, Mwenyezi Mungu hatowasamehe kamwe maadamu watabaki katika ukafiri wao. Wala hatawapa uwongofu wa kuijua njia ya kuvuka. Sio mtindo wake Subhanahu kuwasamehe watu kama hao nao wangali kubaki katika upotovu wao.