Skip to content
النِّسَاء /

Aya 110

4 : 110

Aya 110 of النِّسَاء (4 : 110). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النِّسَاء Aya 176
Sura · النِّسَاء
Kiswahili · Barawani
4 : 110

وَمَن يَعۡمَلۡ سُوٓءًا أَوۡ يَظۡلِمۡ نَفۡسَهُۥ ثُمَّ يَسۡتَغۡفِرِ ٱللَّهَ يَجِدِ ٱللَّهَ غَفُورٗا رَّحِيمٗا

Na anaye tenda uovu au akajidhulumu nafsi yake, kisha akaomba maghfira kwa Mwenyezi Mungu, atamkuta Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira, Mwenye kurehemu.

Explanation & meanings · 1
  1. Mlango wa toba, hakika, uwazi. Anaye tenda kitendo kiovu cho chote, au akajidhulumu nafsi yake kwa kufanya maasi, kisha akamtaka msamaha Mwenyezi Mungu Mtukufu, atamkuta Mwenyezi Mungu yu tayari kukubali toba yake, na kumghufiria madhambi yake. Kwani ndio mwendo wake Mwenyezi Mungu kughufiria na kurehemu.