Skip to content
الزُّمَر /

Aya 34

39 : 34

Aya 34 of الزُّمَر (39 : 34). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الزُّمَر Aya 75
Sura · الزُّمَر
Kiswahili · Barawani
39 : 34

لَهُم مَّا يَشَآءُونَ عِندَ رَبِّهِمۡۚ ذَٰلِكَ جَزَآءُ ٱلۡمُحۡسِنِينَ

Watapata watakacho taka kwa Mola wao Mlezi. Hayo ndiyo malipo ya watendao mema.

Explanation & meanings · 1
  1. Wachamngu hao watapata kutoka kwa Mola wao Mlezi kila wakipendacho. Fadhila hiyo ni malipo ya kila mwenye kufanya vizuri katika itikadi yake na vitendo vyake.