Skip to content
صٓ /

Aya 67

38 : 67
صٓ Aya 88
Sura · صٓ
Kiswahili · Barawani
38 : 67

قُلۡ هُوَ نَبَؤٌاْ عَظِيمٌ

Sema: Hii ni khabari kubwa kabisa.

Explanation & meanings · 1
  1. Ewe Muhammad! Waambie: Haya ninayo kuambieni ni khabari kubwa, ambazo nyinyi mnazipuuza. Msizikanye!