Skip to content
صٓ /

Aya 40

38 : 40
صٓ Aya 88
Sura · صٓ
Kiswahili · Barawani
38 : 40

وَإِنَّ لَهُۥ عِندَنَا لَزُلۡفَىٰ وَحُسۡنَ مَـَٔابٖ

Na hakika yeye kwetu Sisi ana cheo cha kukaribishwa kwetu, na pahala pazuri pa kurejea.

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika Suleiman kwetu Sisi ana ukaribisho mkubwa, na marejeo mazuri.