Skip to content
الصَّافَات /

Aya 51

37 : 51

Aya 51 of الصَّافَات (37 : 51). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 51

قَالَ قَآئِلٞ مِّنۡهُمۡ إِنِّي كَانَ لِي قَرِينٞ

Aseme msemaji mmoja miongoni mwao: Hakika mimi nalikuwa na rafiki.

Explanation & meanings · 1
  1. Hapo mmoja wao atasema: Mimi nalikuwa na rafiki katika washirikina, akijadiliana nami katika mambo ya Dini na yaliyo kuja katika Qur'ani.