37 : 4
إِنَّ إِلَٰهَكُمۡ لَوَٰحِدٞ
Hakika Mungu wenu bila ya shaka ni Mmoja.
Explanation & meanings · 1
- Hakika Mungu wenu anaye faa kuabudiwa bila ya shaka ni Mmoja tu. Hana mshirika wake, kwa dhati, wala kitendo, wala sifa.
Aya 4 of الصَّافَات (37 : 4). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
إِنَّ إِلَٰهَكُمۡ لَوَٰحِدٞ
Hakika Mungu wenu bila ya shaka ni Mmoja.