37 : 38
إِنَّكُمۡ لَذَآئِقُواْ ٱلۡعَذَابِ ٱلۡأَلِيمِ
Hakika nyinyi bila ya shaka mtaionja adhabu chungu.
Explanation & meanings · 1
- Enyi washirikina! Hakika nyinyi hapana shaka mtaionja adhabu kali ya Akhera.