Skip to content
الصَّافَات /

Aya 171

37 : 171
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 171

وَلَقَدۡ سَبَقَتۡ كَلِمَتُنَا لِعِبَادِنَا ٱلۡمُرۡسَلِينَ

Na bila ya shaka neno letu lilikwisha tangulia kwa waja wetu walio tumwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Ninaapa! Hukumu yetu kwa Mitume tulio watuma imekwisha tolewa mbele, ya kwamba ushindi na matokeo mema ni yao wao dhidi ya makafiri.