37 : 159
سُبۡحَٰنَ ٱللَّهِ عَمَّا يَصِفُونَ
Subhana 'Llah Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo msingizia.
Explanation & meanings · 1
- Mwenyezi Mungu Mtukufu ametakasika na hizo sifa za kuemewa na za upungufu wanazo mzulia kuwa anazo.