Skip to content
الصَّافَات /

Aya 157

37 : 157
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 157

فَأۡتُواْ بِكِتَٰبِكُمۡ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ

Basi leteni Kitabu chenu kama mnasema kweli.

Explanation & meanings · 1
  1. Basi leteni hoja zenu, ikiwa mnazo hoja za katika Kitabu cha mbinguni, kama nyinyi ni wakweli katika hayo myasemayo na mnayo yahukumia.